Surah Ad-Dhuha with Swahili
وَالضُّحَىٰ(1) Naapa kwa mchana! |
وَاللَّيْلِ إِذَا سَجَىٰ(2) Na kwa usiku unapo tanda! |
مَا وَدَّعَكَ رَبُّكَ وَمَا قَلَىٰ(3) Mola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe. |
وَلَلْآخِرَةُ خَيْرٌ لَّكَ مِنَ الْأُولَىٰ(4) Na bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia. |
وَلَسَوْفَ يُعْطِيكَ رَبُّكَ فَتَرْضَىٰ(5) Na Mola wako Mlezi atakupa mpaka uridhike. |
أَلَمْ يَجِدْكَ يَتِيمًا فَآوَىٰ(6) Kwani hakukukuta yatima akakupa makaazi? |
وَوَجَدَكَ ضَالًّا فَهَدَىٰ(7) Na akakukuta umepotea akakuongoa? |
وَوَجَدَكَ عَائِلًا فَأَغْنَىٰ(8) Akakukuta mhitaji akakutosheleza? |
فَأَمَّا الْيَتِيمَ فَلَا تَقْهَرْ(9) Basi yatima usimwonee! |
وَأَمَّا السَّائِلَ فَلَا تَنْهَرْ(10) Na anaye omba au kuuliza usimkaripie! |
وَأَمَّا بِنِعْمَةِ رَبِّكَ فَحَدِّثْ(11) Na neema za Mola wako Mlezi zisimlie. |
More surahs in Swahili:
Download surah Ad-Dhuha with the voice of the most famous Quran reciters :
surah Ad-Dhuha mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ad-Dhuha Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
لا تنسنا من دعوة صالحة بظهر الغيب