Surah Jathiyah aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿حم﴾
[ الجاثية: 1]
H'a Mim
Surah Al-Jaathiyah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Ha, Meem.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ha Mim .
Ha Mim. Hizi ni harufi mbili katika harufi za kutamkwa, zimeanzia Sura hii kama ada ya Sura nyingi katika Qurani ambazo zimeanzia kwa harufi kama hivi ili kuashiria kuwa washirikina wameshindwa kuleta mfano wake, ijapo kuwa hii Qurani imeundwa kwa harufi hizi hizi wanazo zitumia katika maneno yao.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ni vyake vyote viliomo mbinguni na viliomo katika ardhi, na viliomo baina yao, na viliomo
- Huo ni mgawanyo wa dhulma!
- Msifanye wito wa Mtume baina yenu kama wito wa nyinyi kwa nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu
- Na matunda wanayo yapenda,
- Na akasema yule aliye amini: Enyi watu wangu! Hakika mimi nakukhofieni mfano wa siku za
- Enyi Watu wa Kitabu! Mbona kweli mnaivisha uwongo, na kweli mnaificha na hali mnajua?
- Kwa yakini mtakula mti wa Zaqqumu.
- Basi wakikengeuka lilio juu yako wewe ni kufikisha ujumbe wazi wazi.
- Hakika wanao zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawauwa Manabii pasipo haki, na wakawauwa watu
- Na kila kitu Sisi tumekidhibiti kwa kukiandika.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Jathiyah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Jathiyah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Jathiyah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers