Surah Ad Dukhaan aya 2 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَالْكِتَابِ الْمُبِينِ﴾
[ الدخان: 2]
Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha,
Surah Ad-Dukhaan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
By the clear Book,
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha!
Mwenyezi Mungu anaapa kwa Qurani yenye kuweka wazi Dini ya Haki, yenye kuwabainishia watu yaliyo na maslaha ya dunia yao na Akhera yao, ili kujuulisha utukufu wa cheo chake.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Enyi mlio amini! Si halali kwenu kuwarithi wanawake kwa nguvu. Wala msiwadhikishe ili mwapokonye baadhi
- Ya Firauni na Thamudi?
- Mitume hao ni wabashiri na waonyaji, ili watu wasiwe na hoja juu ya Mwenyezi Mungu
- Na siku atakapo wakusanya wao na hao wanao waabudu, na akasema: Je! Ni nyinyi mlio
- Na ambaye ndiye aliye teremsha kutoka mbinguni maji kwa kiasi, na kwa hayo tukaifufua nchi
- Na watu wake wakamhoji. Akasema: Je, mnanihoji juu ya Mwenyezi Mungu, na hali Yeye ameniongoa?
- Siku hiyo nyuso zitainama,
- Wala sitaabudu mnacho abudu.
- Rejea kwa Mola wako Mlezi umeridhika, na umemridhisha.
- Na hakika tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ad Dukhaan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ad Dukhaan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ad Dukhaan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



