Surah Ad Dukhaan aya 3 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّا أَنزَلْنَاهُ فِي لَيْلَةٍ مُّبَارَكَةٍ ۚ إِنَّا كُنَّا مُنذِرِينَ﴾
[ الدخان: 3]
Hakika tumekiteremsha katika usiku ulio barikiwa. Hakika Sisi ni Waonyaji.
Surah Ad-Dukhaan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, We sent it down during a blessed night. Indeed, We were to warn [mankind].
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika tumekiteremsha katika usiku ulio barikiwa. Hakika Sisi ni Waonyaji.
Hakika Sisi tumeanza kuiteremsha Qurani katika usiku ulio jaa kheri, wenye baraka nyingi, kwani ni mwendo wetu kuonya kwa kuwatuma Mitume na kuteremsha Vitabu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Mna nini? Mbona hamsaidiani?
- Bali hii leo, watasalimu amri.
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Basi siku hiyo hataadhibu yeyote namna ya kuadhibu kwake.
- Au wanawaabudu miungu mingine badala yake? Sema: Leteni ushahidi wenu! Haya ni ukumbusho wa hawa
- Mlivyo navyo vitakwisha na vilivyoko kwa Mwenyezi Mungu ndivyo vitakavyo bakia. Na kwa yakini Sisi
- Na mkewe, mchukuzi wa kuni,
- Isipo kuwa wale walio tubu kabla hamjawatia nguvuni. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye
- Watakabiliana wao kwa wao kuulizana.
- Mwenyezi Mungu anajua mimba abebayo kila mwanamke, na kinacho punguka na kuzidi matumboni. Na kila
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ad Dukhaan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ad Dukhaan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ad Dukhaan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers