Surah Shuara aya 221 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿هَلْ أُنَبِّئُكُمْ عَلَىٰ مَن تَنَزَّلُ الشَّيَاطِينُ﴾
[ الشعراء: 221]
Je! Nikwambieni nani wanawashukia Mashet'ani?
Surah Ash-Shuara in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Shall I inform you upon whom the devils descend?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Je! Nikwambieni nani wanawashukia Mashetani?
Washirikina walisema: Mashetani ndio wanamsomea Qurani Muhammad. Qurani ikawajibu: Nikupeni khabari watu gani Mashetani ndio wanawateremkia, na wakawashawishi?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wakasema: Tuombee kwa Mola wako Mlezi atupambanulie ni yupi? Hakika tunaona ng'ombe wamefanana. Na kwa
- Akasema: Nipeni waja wa Mwenyezi Mungu; kwa hakika mimi kwenu ni Mtume Muaminifu.
- Nayo ni Jahannamu! Wataingia humo. Nacho hicho ni kitanda kiovu mno cha kulalia.
- Akasema: Utakuwa miongoni mwa walio pewa muhula.
- Wakasema: Tunaabudu masanamu, daima tunayanyenyekea.
- Lakini walio mcha Mola wao Mlezi watapata ghorofa zilizo jengwa juu ya ghorofa; chini yake
- Katika Bustani ya juu.
- Na watasema: Lau kuwa tungeli sikia, au tungeli kuwa na akili, tusingeli kuwa katika watu
- Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake?
- Warumi wameshindwa,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Shuara with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Shuara mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Shuara Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers