Surah Fussilat aya 32 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿نُزُلًا مِّنْ غَفُورٍ رَّحِيمٍ﴾
[ فصلت: 32]
Ni takrima itokayo kwa Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Surah Fussilat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
As accommodation from a [Lord who is] Forgiving and Merciful."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ni takrima itokayo kwa Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Na Malaika watawaambia: Sisi ni wasaidizi wenu katika maisha ya duniani kwa kukuungeni mkono, na Akhera kwa kukuombeeni shafaa na kukutukuzeni. Na huko Akhera mtapata kila cha ladha na kizuri kinacho pendwa na nafsi zenu, na mtapata kila mnacho kitamani kuwa ni takrima, na maamkio yanayo toka kwa Mola Mlezi Mkunjufu wa maghfira na rehema.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wala wamchao Mungu hawana jukumu lolote kwao, lakini ni kukumbusha, asaa wapate kujiepusha.
- (Mwenyezi Mungu) aseme: Msigombane mbele yangu. Nilikuleteeni mbele onyo langu.
- Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli?
- Waulize Wana wa Israili: Tumewapa ishara ngapi zilizo wazi? Na anaye zibadili neema za Mwenyezi
- Wameegemea juu ya matakia ya kijani na mazulia mazuri.
- Waseme: Hatukuwa miongoni walio kuwa wakisali.
- Mashada ya matunda yake kama kwamba vichwa vya mashet'ani.
- Na haiwafikii Ishara yoyote katika Ishara za Mola wao Mlezi ila wao huwa ni wenye
- Na Yeye ndiye Mungu mbinguni, na ndiye Mungu katika ardhi. Naye ndiye Mwenye hikima, Mwenye
- Au wanazo khazina za Mola wako Mlezi au wao ndio wenye madaraka?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Fussilat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Fussilat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Fussilat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers