Surah Qaf aya 12 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿كَذَّبَتْ قَبْلَهُمْ قَوْمُ نُوحٍ وَأَصْحَابُ الرَّسِّ وَثَمُودُ﴾
[ ق: 12]
Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na wakaazi wa Rassi na Thamudi.
Surah Qaf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
The people of Noah denied before them, and the companions of the well and Thamud
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na wakaazi wa Rassi na Thamudi.
Kabla ya hawa, kaumu nyingi ziliwakadhibisha Mitume- kaumu ya Nuhu, na kaumu nyengine iliyo kuwa ikiitwa -Watu wa Rassi-, na wa Thamudi, na wa Adi, na wa Firauni, na kaumu Luti, na kaumu iliyo kuwa maarufu kwa jina la -Watu wa Machakani-, na kaumu ya Tubbaa - wote hao waliwakadhibisha Mitume wao. Kwa hivyo wakastahiki maangamizo niliyo waahidi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Naye ndiye anaye pokea toba kwa waja wake, na anasamehe makosa, na anayajua mnayo yatenda.
- Mola wake Mlezi alipo mwita katika bonde takatifu la T'uwaa, akamwambia:
- Wallahi! Sisi tulituma Mitume kwa umati zilizo kuwa kabla yako, lakini Shetani aliwapambia vitendo vyao.
- Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
- Na waonye siku inayo kurubia, wakati nyoyo zitakapo fika kooni, nao wamejaa huzuni. Madhaalimu hawatakuwa
- Kisha tukakufufueni baada ya kufa kwenu, ili mpate kushukuru.
- Na mcheni Mwenyezi Mungu, wala msinihizi.
- Na wote watakuwa na daraja zao mbali mbali kwa waliyo yatenda, na ili awalipe kwa
- Hakika Yeye anajua kauli ya dhaahiri na anajua myafichayo.
- Wale ambao walikuwa wakizuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, na wakataka kuipotosha, nao wanaikanusha Akhera.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qaf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qaf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qaf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers