Surah Taghabun aya 9 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿يَوْمَ يَجْمَعُكُمْ لِيَوْمِ الْجَمْعِ ۖ ذَٰلِكَ يَوْمُ التَّغَابُنِ ۗ وَمَن يُؤْمِن بِاللَّهِ وَيَعْمَلْ صَالِحًا يُكَفِّرْ عَنْهُ سَيِّئَاتِهِ وَيُدْخِلْهُ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا ۚ ذَٰلِكَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ﴾
[ التغابن: 9]
Siku atakayo kukusanyeni kwa ajili ya Siku ya Mkusanyiko; hiyo ni siku ya kupunjana. Na anaye muamini Mwenyezi Mungu na akatenda mema, atamfutia maovu yake, na atamuingiza katika Mabustani yenye kupitiwa kati yake na mito, watadumu humo milele. Huko ndiko kufuzu kukubwa.
Surah At-Taghabun in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
The Day He will assemble you for the Day of Assembly - that is the Day of Deprivation. And whoever believes in Allah and does righteousness - He will remove from him his misdeeds and admit him to gardens beneath which rivers flow, wherein they will abide forever. That is the great attainment.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Siku atakayo kukusanyeni kwa ajili ya Siku ya Mkusanyiko; hiyo ni siku ya kupunjana. Na anaye muamini Mwenyezi Mungu na akatenda mema, atamfutia maovu yake, na atamuingiza katika Mabustani yenye kupitiwa kati yake na mito, watadumu humo milele. Huko ndiko kufuzu kukubwa.
Siku atapo kukusanyeni katika Siku ya Mkusanyo wa walio tangulia mwanzo na walio kuja mwisho, akulipeni kwa vitendo vyenu! Siku hiyo ndiyo Siku ya Taghaabun, Kupunjana, kutapo dhihiri kupunjika kwa makafiri kwa kuacha Imani, na kupunjika Waumini kwa kupuuza kuongeza utiifu. Na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na akatenda mema atamwondolea maovu yake, na atamtia katika Bustani zenye kupita kati yake mito, wakae humo milele. Malipo hayo ndio kufuzu kukubwa.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi wasamehe, na uwambie maneno ya salama. Watakuja jua.
- Na laiti ungeli ona Malaika wanapo wafisha wale walio kufuru wakiwapiga nyuso zao na migongo
- Hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio mkwawacha wanawake? Kumbe nyinyi ni watu wafujaji!
- Wanakuuliza hiyo Saa (ya mwisho) itakuwa lini? Sema: Kuijua kwake kuko kwa Mola Mlezi wangu.
- Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio
- Na ni tangazo kutokana na Mwenyezi Mungu na Mtume wake kwa wote siku ya Hija
- Hukuwa wewe ila ni mwonyaji.
- Sema: Mola Mlezi wangu ameharimisha mambo machafu ya dhaahiri na ya siri, na dhambi, na
- Wakasema: Mleteni mbele ya macho ya watu, wapate kumshuhudia!
- Na umshirikishe katika kazi yangu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Taghabun with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Taghabun mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Taghabun Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers