Surah Yunus aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الر ۚ تِلْكَ آيَاتُ الْكِتَابِ الْحَكِيمِ﴾
[ يونس: 1]
Alif Lam Ra. Hizo ni Aya za Kitabu chenye Hikima.
Surah Yunus in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Alif, Lam, Ra. These are the verses of the wise Book
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Alif Lam Ra. Hizo ni Aya za Kitabu chenye Hikima.
Harufi hizi - Alif Lam Raa - ni sawa na A.L.R. Mwenyezi Mungu Mtukufu ameanzia Sura hii. Na Yeye ndiye anajua muradi wake. Na juu ya hivyo zinaashiria kuwa Qurani imeundwa kwa harufi hizi hizi za Alifbete, na nyinyi mmeshindwa kuleta mfano wake! Na kwa harufi hizi za kutamkwa zinawazindua washirikina, wakawa wanasikiliza, ijapo kuwa wanawafikiana kuwa wasizisikilize Aya Tukufu hizi na mfano wake ambazo ni Aya za Qurani yenye hikima katika mpango wake na maana zake, na ambayo imekusanya hikima na kila linalo wanafuisha watu katika Dini yao na dunia yao.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Naapa kwa mlima wa T'ur,
- Yusuf akasema: Yeye ndiye aliye nitaka bila ya mimi kumtaka. Na shahidi aliye kuwa katika
- Lakini walio kufuru wamo katika majivuno na upinzani
- Kwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyo ziumba mbingu saba kwa matabaka?
- Huu ni ukumbusho. Na hakika wachamngu wana marudio mazuri.
- Kisha nikawakamata walio kufuru. Basi kuchukia kwangu kulikuwaje?
- Je! Tuache kukukumbusheni kabisa kwa kuwa nyinyi ni watu mlio pita mipaka kwa ukafiri?
- Na msip o mkuta mtu humo basi msiingie mpaka mruhusiwe. Na mkiambiwa: Rudini! Basi rudini.
- Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu
- Wale ambao huwafanya makafiri kuwa ndio marafiki badala ya Waumini. Je! Wanataka wapate kwao utukufu?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yunus with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yunus mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yunus Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



