Surah Al Imran aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الم﴾
[ آل عمران: 1]
Alif Laam Miim.
Surah Al Imran in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Alif, Lam, Meem.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Alif Laam Miim.
Alif Laam Miim, yaani -A.L.M.- ni harufi za kutamkwa na kusikilizana kwa sauti. Zimeletwa kubainisha kuwa hii Qurani ya miujiza imetokana na hizi hizi harufi zinazo tamkwa, ili watu watanabahi na wasikilize.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wakasema: Malipo yake ni yule ambaye ataonekana nalo yeye huyo ndiye malipo yake. Hivi ndivyo
- Mkamwacha Yeye. Basi nyote nyinyi nipangieni vitimbi, na kisha msinipe muhula!
- Na hivyo vitalu viwili vikitoa mazao yake, wala hapana kitu katika hayo kilicho tindikia. Na
- Je! Imekufikia hadithi ya Musa?
- Na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa Waislamu.
- Na wale wa mkono wa kulia, ni yepi yatakuwa ya wa kuliani?
- Basi khofu ilipo mwondoka Ibrahim, na ikawa ile bishara imemfikia, alianza kujadiliana nasi juu ya
- Tungeli taka tungeli yafanya yakawa mapepe, mkabaki mnastaajabu,
- Siku kitapo tetemeka cha kutetemeka,
- Watadumu humo milele. Hawampati mlinzi wala wa kuwanusuru.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Imran with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Imran mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Imran Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers