Surah Raad aya 13 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَيُسَبِّحُ الرَّعْدُ بِحَمْدِهِ وَالْمَلَائِكَةُ مِنْ خِيفَتِهِ وَيُرْسِلُ الصَّوَاعِقَ فَيُصِيبُ بِهَا مَن يَشَاءُ وَهُمْ يُجَادِلُونَ فِي اللَّهِ وَهُوَ شَدِيدُ الْمِحَالِ﴾
[ الرعد: 13]
Na radi inamtakasa Mwenyezi Mungu kwa kumhimidi, na Malaika pia, kwa kumkhofu. Naye hupeleka mapigo ya radi yakampata amtakaye. Nao wanabishana juu ya Mwenyezi Mungu. Na Yeye ni Mwenye adhabu kali!
Surah Ar-Rad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And the thunder exalts [Allah] with praise of Him - and the angels [as well] from fear of Him - and He sends thunderbolts and strikes therewith whom He wills while they dispute about Allah; and He is severe in assault.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na radi inamtakasa Mwenyezi Mungu kwa kumhimidi, na Malaika pia, kwa kumkhofu. Naye hupeleka mapigo ya radi yakampata amtakaye. Nao wanabishana juu ya Mwenyezi Mungu. Na Yeye ni Mwenye adhabu kali!
Na hakika radi zinamnyenyekea Mwenyezi Mungu Subhanahu wa Taala kwa unyenyekevu ulio timia, mpaka ikawa sauti yake mnayo isikia ni kama kwamba inamtakasa na kumsabihi kwa kumhimidi, kumsifu na kumshukuru, kwa kuumba kwake kama ni ishara ya unyenyekevu wake. Na vile vile Roho safi msizo ziona, yaani Malaika, pia zinamtakasa Yeye. Na Yeye ndiye anaye peleka moto wa radi unao unguza ukampata amtakaye. Na juu ya kuwepo ishara hizi zinazo onekana zenye dalili ya uwezo wake Subhanahu wao bado wanabisha shani ya Mwenyezi Mungu Aliye takasika. Na Yeye ni Mwenye nguvu kubwa za kuvipinga vitimbi vya maadui.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
- Kisha Siku ya Kiyama atawahizi na atasema: Wako wapi hao washirika wangu ambao kwao mkiwakutisha
- Na kwa hakika yeye ni alama ya Saa ya Kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni.
- Alif Lam Raa. Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha.
- Hakika Mwenyezi Mungu hawadhulumu watu kitu chochote; lakini watu wenyewe wanajidhulumu nafsi zao.
- Mwenyezi Mungu ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi, na akateremsha maji kutoka mbinguni. Na kwa
- Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu.
- WAHESHIMIWA WALIO TAKABARI katika kaumu yake wakasema: Ewe Shua'ib! Tutakutoa wewe pamoja na wale walio
- Na wale wanao sema: Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu ya Jahannamu. Hakika adhabu yake ikimpata
- Hakika Sisi tumemimina maji kwa nguvu,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Raad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Raad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Raad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



