Surah Raad aya 12 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿هُوَ الَّذِي يُرِيكُمُ الْبَرْقَ خَوْفًا وَطَمَعًا وَيُنشِئُ السَّحَابَ الثِّقَالَ﴾
[ الرعد: 12]
Yeye ndiye anaye kuonyesheni umeme kwa khofu na tamaa, na huyaleta mawingu mazito.
Surah Ar-Rad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
It is He who shows you lightening, [causing] fear and aspiration, and generates the heavy clouds.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Yeye ndiye anaye kuonyesheni umeme kwa khofu na tamaa, na huyaleta mawingu mazito.
Na uwezo wa Mwenyezi Mungu Mtukufu katika ulimwengu unaonekana wazi, na athari zake zipo dhaahiri. Ni Yeye anaye kuonesheni umeme, ukakutisheni kuuona au mkakhofu isikujieni mvua wakati msio ihitaji ikakuharibieni mazao, au mkatumai kwa umeme itakuja mvua kubwa mnayo ihitajia kwa maslaha ya ukulima. Ni Yeye anaye yafanya mawingu yaliyo jaa mvua.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Enyi Watu wa Kitabu! Amekwisha kujieni Mtume wetu anaye kufichulieni mengi mliyo kuwa mkiyaficha katika
- Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni,
- Hakika Mwenyezi Mungu hadhulumu hata uzito wa chembe moja. Na ikiwa ni jambo jema basi
- Kisha anatumai nimzidishie!
- Basi akiwa miongoni mwa walio karibishwa,
- Hakika Nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko Bakka, iliyo barikiwa
- Na tulimtuma kwa watu laki moja au zaidi.
- Kwa neema inayo toka kwetu. Hivyo ndivyo tumlipavyo anaye shukuru.
- Ingieni leo kwa vile mlivyo kuwa mkikufuru.
- Kwani hamwoni ya kwamba Mwenyezi Mungu amevifanya vikutumikieni viliomo mbinguni na kwenye ardhi, na akakujalizieni
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Raad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Raad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Raad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



