Surah Qasas aya 2 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿تِلْكَ آيَاتُ الْكِتَابِ الْمُبِينِ﴾
[ القصص: 2]
Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha.
Surah Al-Qasas in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
These are the verses of the clear Book.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha.
Ewe Mtume! Aya hizi tunazo kufunulia wewe ni Aya za Qurani yenye kubainisha kwa uwazi, yenye kudhihirisha Haki iwe mbali na uwongo, na halali iwe mbali na haramu, na itoe ahadi ya kulipwa thawabu, na kuhadharisha na adhabu.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na bahari zikawaka moto,
- Mataifa mangapi tumeyaangamiza kabla yao, na wakapiga kelele, lakini wakati wa kuokoka ulikwisha pita.
- Na ikiwa haki ni yao, wanamjia kwa kut'ii.
- Basi tukamwitikia na tukamwokoa kutokana na dhiki. Na hivyo ndivyo tunavyo waokoa Waumini.
- Katika Ubao Ulio Hifadhiwa.
- Ufalme wote siku hiyo utakuwa wa Mwenyezi Mungu. Atahukumu baina yao. Basi walio amini na
- Kumwendea Firauni na wakuu wake. Lakini walijivuna, nao walikuwa watu majeuri.
- Jahannamu itakuwa kitanda chao na juu yao nguo za moto za kujifunika. Na hivi ndivyo
- Na ikiwa watajivuna, basi hao walioko kwa Mola wako Mlezi wanamtakasa Yeye usiku na mchana,
- Kina Thamudi walikadhibisha kwa sababu ya upotofu wao,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qasas with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qasas mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qasas Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



