Surah Nuh aya 26 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَقَالَ نُوحٌ رَّبِّ لَا تَذَرْ عَلَى الْأَرْضِ مِنَ الْكَافِرِينَ دَيَّارًا﴾
[ نوح: 26]
Na Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juu ya ardhi mkaazi wake yeyote katika makafiri!
Surah Nuh in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And Noah said, "My Lord, do not leave upon the earth from among the disbelievers an inhabitant.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na NuHu akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juu ya ardhi mkaazi wake yeyote katika makafiri!
Na NuHu akasema baada ya kukata tamaa nao watu wake: Mola wangu Mlezi! Usimwache yeyote katika hao wanao kukataa Wewe akabaki akizunguka juu ya ardhi!
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na Yeye ndiye anaye huisha na kufisha, na yake Yeye mabadiliko ya usiku na mchana.
- Lakini waliukataa. Basi watakuja jua.
- Ukikupata wema unawachukiza, na ukikusibu msiba, wao husema: Sisi tuliangalia mambo yetu vizuri tangu kwanza.
- Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,
- Na tukakunyanyulia utajo wako?
- Basi, simama sawa sawa kama ulivyo amrishwa, wewe na wale wanao elekea kwa Mwenyezi Mungu
- Mna nini hata hamsemi?
- Yusuf alipo mwambia baba yake: Ewe babaangu! Hakika mimi nimeota nyota kumi na moja, na
- Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama?
- Hayo ni kwa sababu walisema: Hautatugusa Moto isipo kuwa kwa siku chache tu. Na yakawadanganya
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nuh with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nuh mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nuh Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



