Surah Fussilat aya 2 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿تَنزِيلٌ مِّنَ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ﴾
[ فصلت: 2]
Uteremsho huu umetoka kwa Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Surah Fussilat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
[This is] a revelation from the Entirely Merciful, the Especially Merciful -
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Uteremsho huu umetoka kwa Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Kitabu hichi ni mteremsho wa namna ya peke yake, kutokana na Mneemeshaji wa neema kubwa na neema ndogo.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na nani dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu, na akazikanusha Ishara zake? Hakika
- Na nyinyi mtakuwa namna tatu:-
- Sema: Lau kuwa ninacho hicho mnacho kihimiza, ingeli kwisha katwa shauri baina yangu na nyinyi.
- Hakika Mwenyezi Mungu amemtimizia Mtume wake ndoto ya haki. Bila ya shaka nyinyi mtauingia Msikiti
- Amewafanya miungu wote kuwa ni Mungu Mmoja tu? Hakika hili ni jambo la ajabu.
- Basi tuliwapelekea upepo wa kimbunga katika siku za ukorofi, ili tuwaonjeshe adhabu ya kuwahizi katika
- Na kwamba Yeye ndiye anaye leta kicheko na kilio.
- Kisha akaifuata njia.
- Hakika haya ni malipo yenu; na juhudi zenu zimekubaliwa.
- Kisha akamfanya namna mbili, mwanamume na mwanamke.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Fussilat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Fussilat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Fussilat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



