Surah Yusuf aya 35 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿ثُمَّ بَدَا لَهُم مِّن بَعْدِ مَا رَأَوُا الْآيَاتِ لَيَسْجُنُنَّهُ حَتَّىٰ حِينٍ﴾
[ يوسف: 35]
Basi ikawadhihirikia baada ya kuona Ishara kuwa wamfunge kwa muda.
Surah Yusuf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Then it appeared to them after they had seen the signs that al-'Azeez should surely imprison him for a time.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Basi ikawadhihirikia baada ya kuona Ishara kuwa wamfunge kwa muda.
Kisha ikadhihiri rai ya Mheshimiwa na watu wake, baada ya kwisha ona dalili zilizo wazi kuwa Yusuf hana makosa. Wakakubaliana rai hii, na wakaapa kuitimiza. Nayo ni kumtia yeye gerezani kwa muda mfupi au mrefu, ili kumkinga mkewe na maneno mabaya, na kumuepusha na masengenyo ya watu!
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wawe wameegemea matandiko yenye bit'ana ya hariri nzito; na matunda ya Bustani hizo yapo karibu.
- Na mchamngu ataepushwa nao,
- Na hakika mnayo mazingatio makubwa katika nyama hoa - tunakunywesheni katika vile viliomo matumboni mwao,
- Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea.
- Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Mwenyezi Mungu huwahuisha wafu; na anakuonyesheni
- Sema: Mwaonaje, yakiwa maji yenu yamedidimia chini, nani atakueleteeni maji yanayo miminika?
- Ya kuwa mtie katika kisanduku, na kisha kitie mtoni, na mto utamfikisha ufukweni. Atamchukua adui
- Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenye miba.
- Na kwa bahari iliyo jazwa,
- Ndio kama hivi tunawaelekeza madhaalimu wapendane wao kwa wao kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyachuma.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yusuf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yusuf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yusuf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers