Surah Fussilat aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿حم﴾
[ فصلت: 1]
H'a Mim
Surah Fussilat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Ha, Meem.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ha Mim .
(Ha Mim) Hizi harufi mbili katika harufi za alifbete zilio fungulia Sura hii kama ilivyo ada ya Qurani katika Sura nyingi, ili kuzindua watu watanabahi, na pia kuonyesha dalili ya muujiza wa Qurani.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na Siku atakapo wakusanya, itakuwa kama kwamba hawakukaa ila saa moja tu ya mchana! Watatambuana.
- Ukiwang'oa watu kama vigogo vya mitende vilio ng'olewa.
- Nao wamefuatishiwa laana hapa duniani na Siku ya Kiyama. Ni mabaya yalioje watakayo pewa!
- Hawajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anayajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza?
- Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri.
- Na tukawanyeshea mvua. Ni ovu kweli kweli hiyo mvua ya walio kwisha onywa.
- Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
- Basi naapa kwa mnavyo viona,
- La! Hapana pa kukimbilia!
- Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na rehema kwa watu
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Fussilat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Fussilat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Fussilat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers