Surah Al Isra aya 78 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَقِمِ الصَّلَاةَ لِدُلُوكِ الشَّمْسِ إِلَىٰ غَسَقِ اللَّيْلِ وَقُرْآنَ الْفَجْرِ ۖ إِنَّ قُرْآنَ الْفَجْرِ كَانَ مَشْهُودًا﴾
[ الإسراء: 78]
Shika Sala jua linapo pinduka mpaka giza la usiku, na Qur'ani ya al fajiri. Hakika Qur'ani ya alfajiri inashuhudiwa daima.
Surah Al-Isra in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Establish prayer at the decline of the sun [from its meridian] until the darkness of the night and [also] the Qur'an of dawn. Indeed, the recitation of dawn is ever witnessed.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Shika Swala jua linapo pinduka mpaka giza la usiku, na Qurani ya al fajiri. Hakika Qurani ya alfajiri inashuhudiwa daima.
Shika Swala zilizo faridhiwa, tangu kupinduka jua kati ya mbingu kuelekea upande wa machwea jua, mpaka kiza cha usiku. Na hizi ndizo Swala za Adhuhuri, Alasiri, Magharibi na Isha. Na pia shika Swala ya Alfajiri ambayo wanaishuhudia Malaika.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na waulize khabari za mji ulio kuwa kando ya bahari, wakiivunja Sabato (Jumaamosi ya mapumziko).
- Na mali yake yatamfaa nini atapo kuwa anadidimia?
- Wala hatukuwafanya miili isiyo kula chakula, wala hawakuwa wenye kuishi milele.
- Hakika pamoja na uzito upo wepesi.
- Mna nini hamweki heshima ya Mwenyezi Mungu?
- Na hakika mnayo mazingatio makubwa katika nyama hoa - tunakunywesheni katika vile viliomo matumboni mwao,
- Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. Na vyote vinaogelea katika njia zao.
- Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo.
- Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu
- Na anaye omba au kuuliza usimkaripie!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Isra with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Isra mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Isra Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers