La sourate Al-Alaq en Swahili
اقْرَأْ بِاسْمِ رَبِّكَ الَّذِي خَلَقَ(1) Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba, |
خَلَقَ الْإِنسَانَ مِنْ عَلَقٍ(2) Amemuumba binaadamu kwa tone la damu, |
اقْرَأْ وَرَبُّكَ الْأَكْرَمُ(3) Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote! |
الَّذِي عَلَّمَ بِالْقَلَمِ(4) Ambaye amefundisha kwa kalamu. |
عَلَّمَ الْإِنسَانَ مَا لَمْ يَعْلَمْ(5) Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui. |
كَلَّا إِنَّ الْإِنسَانَ لَيَطْغَىٰ(6) Kwani! Hakika mtu bila ya shaka huwa jeuri |
أَن رَّآهُ اسْتَغْنَىٰ(7) Akijiona katajirika. |
إِنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ الرُّجْعَىٰ(8) Hakika kwa Mola wako Mlezi ndio marejeo. |
أَرَأَيْتَ الَّذِي يَنْهَىٰ(9) Umemwona yule anaye mkataza |
عَبْدًا إِذَا صَلَّىٰ(10) Mja anapo sali? |
أَرَأَيْتَ إِن كَانَ عَلَى الْهُدَىٰ(11) Umeona kama yeye yuko juu ya uwongofu? |
أَوْ أَمَرَ بِالتَّقْوَىٰ(12) Au anaamrisha uchamngu? |
أَرَأَيْتَ إِن كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰ(13) Umeona kama yeye akikanusha na anarudi nyuma? |
أَلَمْ يَعْلَم بِأَنَّ اللَّهَ يَرَىٰ(14) Hajui ya kwamba Mwenyezi Mungu anaona? |
كَلَّا لَئِن لَّمْ يَنتَهِ لَنَسْفَعًا بِالنَّاصِيَةِ(15) Kwani! Kama haachi, tutamkokota kwa shungi la nywele! |
نَاصِيَةٍ كَاذِبَةٍ خَاطِئَةٍ(16) Shungi la uwongo, lenye makosa! |
فَلْيَدْعُ نَادِيَهُ(17) Basi na awaite wenzake! |
سَنَدْعُ الزَّبَانِيَةَ(18) Nasi tutawaita Mazabania! |
كَلَّا لَا تُطِعْهُ وَاسْجُدْ وَاقْتَرِب ۩(19) Hasha! Usimt'ii! Nawe sujudu na ujongee! |
Plus de sourates en Swahili :
Téléchargez la sourate avec la voix des récitants du Coran les plus célèbres :
Téléchargez le fichier mp3 de la sourate Al-Alaq : choisissez le récitateur pour écouter et télécharger la sourate Al-Alaq complète en haute qualité.















Donnez-nous une invitation valide