Surah Ikhlas aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ﴾
[ الإخلاص: 1]
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
Surah Al-Ikhlas in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Say, "He is Allah, [who is] One,
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
Ewe Muhammad! Hao wanao sema kwa kejeli, -Tusifie Mola wako Mlezi.-: waambie: Yeye ni Mwenyezi Mungu wa pekee hapana mwenginewe, wala hana mshirika.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Mtapelekewa muwako wa moto na shaba; wala hamtashinda.
- Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio safishwa.
- Hakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu, na hakika Sisi ndio tutao ulinda.
- Ewe uliye jifunika!
- Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa!
- Basi sisi hakika tutakueletea uchawi kama huo. Basi weka miadi baina yetu na wewe, ambayo
- Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi
- Basi watakuwepo wa kuliani; je, ni wepi wa kuliani?
- Au huwachanganya wanaume na wanawake, na akamfanya amtakaye tasa. Hakika Yeye ni Mjuzi Mwenye uweza.
- Siku hiyo, basi, itakuwa siku ngumu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ikhlas with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ikhlas mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ikhlas Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers