Surah Yusuf aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الر ۚ تِلْكَ آيَاتُ الْكِتَابِ الْمُبِينِ﴾
[ يوسف: 1]
Alif Lam Raa. Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha.
Surah Yusuf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Alif, Lam, Ra. These are the verses of the clear Book.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Alif Lam Raa. Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha.
Alif, Lam, Raa. Hizi harufi na mfano wake, zinazo fanya maneno yenu, enyi Waarabu, ndizo hizo hizo zinazo fanya Aya za hichi Kitabu, ambacho ni muujiza unao waemea watu kuuiga. Muujiza ulio wazi unao fafanua kwa kila mwenye kutafuta uwongozi ndani yake, na uwongofu. Na kwa hizi harufi za kutamkika zikasikilizana sauti yake wanazinduliwa watu watanabahi. Basi wasikilize, ijapo kuwa waliwafikiana kuwa wasisikilize.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na tukawafuatishia laana katika dunia hii, na Siku ya Kiyama watakuwa miongoni mwa wanao chusha.
- Na Mola wako Mlezi haangamizi miji mpaka ampeleke Mtume katika miji yake mikuu awasomee Ishara
- Ama wale ambao mizani zao zitakuwa nzito, hao ndio wenye kufanikiwa.
- Nitakuja mtia kwenye Moto wa Saqar.
- Na hawakutupoteza ila wale wakosefu.
- Basi tulipo waondolea adhabu hiyo, mara wakaingia kuvunja ahadi.
- Na bila ya shaka walikwisha potea kabla yao wengi wa watu wa zamani.
- Mna nini hata hamsemi?
- Kwa kuyakataa tuliyo wapa. Basi stareheni. Mtakuja jua!
- Watu wa Peponi siku hiyo watakuwa katika makaazi bora na mahali penye starehe nzuri.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yusuf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yusuf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yusuf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers