Surah Sajdah aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الم﴾
[ السجدة: 1]
Alif Lam Mim (A. L. M.)
Surah As-Sajdah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Alif, Lam, Meem.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Alif Lam Mim (A.L.M.) .
Alif Lam Mim, ni harufi zilizo undiwa Qurani, kama yalivyo undiwa maneno yenu. Ikiwa mmeshindwa kuleta mfano wake hii, basi ni ushahidi kuwa hii inatokana na Mwenyezi Mungu, wala hakuisema mwanaadamu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Siku hiyo nyuso zitainama,
- Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, hakika haya ni kweli kama ilivyo
- Alif Lam Ra. (A. L. R). Hizi ni Aya za Kitabu na Qur'ani inayo bainisha.
- Wale wanao beba A'rshi, na wanao izunguka, wanamsabihi na kumhimidi Mola wao Mlezi, na wanamuamini,
- Na pia wale watatu walio achwa nyuma hata dunia wakaiona dhiki juu ya ukunjufu wake,
- Tutakuhisabuni enyi makundi mawili.
- Na Kitabu kilicho andikwa
- Tukasema: Shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu, basi watakao fuata uwongofu wangu huo
- Jinsi Mola wangu Mlezi alivyo nisamehe, na akanifanya miongoni mwa walio hishimiwa.
- Siku ambayo hautawafaa madhaalimu udhuru wao, nao watapata laana, na watapata makaazi mabaya kabisa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Sajdah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Sajdah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Sajdah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers