Surah Jathiyah aya 34 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَقِيلَ الْيَوْمَ نَنسَاكُمْ كَمَا نَسِيتُمْ لِقَاءَ يَوْمِكُمْ هَٰذَا وَمَأْوَاكُمُ النَّارُ وَمَا لَكُم مِّن نَّاصِرِينَ﴾
[ الجاثية: 34]
Na itasemwa: Leo tunakusahauni kama nyinyi mlivyo sahau mkutano wa siku yenu hii; na mahali penu ni Motoni, wala hamna wa kukunusuruni.
Surah Al-Jaathiyah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And it will be said, "Today We will forget you as you forgot the meeting of this Day of yours, and your refuge is the Fire, and for you there are no helpers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na itasemwa: Leo tunakusahauni kama nyinyi mlivyo sahau mkutano wa siku yenu hii; na mahali penu ni Motoni, wala hamna wa kukunusuruni.
Na wataambiwa hawa washirikina kwa kuwahizi: Leo hii tunakuacheni katika adhabu kama nyinyi mlivyo acha kujitayarisha kukutana na Mola wenu Mlezi katika siku hii kwa utiifu na vitendo vyema. Na pahala penu pa kukaa ni Motoni, na wala hamna wa kukunusuruni akakuokoeni na adhabu yake.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na namna hivi tumekuteremshia Kitabu (cha Qur'ani). Basi wale tulio wapa Kitabu (cha Biblia) wataiamini
- Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,
- Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake.
- Hakika hawa wanasema:
- Na katika Ishara zake hukuonyesheni umeme kwa kukutieni khofu na tamaa. Na hukuteremshieni maji kutoka
- Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo.
- Na hakika tulimpa Musa Kitabu, lakini pakatokea khitilafu kati yake. Na lau kuwa halikwisha tangulia
- Sema: Nyinyi mnayo miadi ya Siku ambayo hamtaakhirika nayo kwa saa moja, wala hamtaitangulia.
- Basi mwendeeni, na mwambieni: Hakika sisi ni Mitume wa Mola wako Mlezi! Basi waache Wana
- Na tumemwachia (sifa nzuri) kwa walio kuja baadaye.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Jathiyah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Jathiyah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Jathiyah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



