Surah Araf aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿المص﴾
[ الأعراف: 1]
ALIF LAM MYM 'SAAD
Surah Al-Araf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Alif, Lam, Meem, Sad.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
ALIF LAM MYMSAAD .
Alif Lam MymSaad. (A.L.M.S.) Hizi ni harufi za kutamkwa ambazo zinaanzia baadhi ya Sura za Makka, kwa ajili ya kuwazindua Washirikina kuwa hakika hii Qurani Tukufu imeundwa kwa harufi zile zile wanazo zitamka wao. Na juu ya hivyo wao wanaemewa hawawezi kuleta mfano wake. Kadhaalika harufi hizi zinapo somwa huwazindua wao wasikilize, kwa kuwa walikuwa wananasihiwa na wakubwa zao kuwa wasiisikilize Qurani.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Akasema: Bali amefanya hayo huyu mkubwa wao. Basi waulizeni ikiwa wanaweza kutamka.
- Na wengine wafungwao kwa minyororo.
- Ya-Sin (Y. S.).
- Basi Malaika wakat'ii wote pamoja.
- Na unge ona watakapo simamishwa kwenye Moto, wakawa wanasema: Laiti tungeli rudishwa, wala hatutakanusha tena
- Basi Mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi.
- Na watu wa Ibrahim na watu wa Lut'i
- Watadumu humo milele. Hakika kwa Mwenyezi Mungu yapo malipo makubwa.
- Kama hivyo tuliwateremshia walio gawa,
- Kwani huyo hakika alikuwa hamuamini Mwenyezi Mungu Mtukufu,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Araf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Araf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Araf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers