Surah Fussilat aya 26 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَقَالَ الَّذِينَ كَفَرُوا لَا تَسْمَعُوا لِهَٰذَا الْقُرْآنِ وَالْغَوْا فِيهِ لَعَلَّكُمْ تَغْلِبُونَ﴾
[ فصلت: 26]
Na walio kufuru walisema: Msiisikilize Qur'ani hii, na timueni zogo, huenda mkashinda.
Surah Fussilat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And those who disbelieve say, "Do not listen to this Qur'an and speak noisily during [the recitation of] it that perhaps you will overcome."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na walio kufuru walisema: Msiisikilize Qurani hii, na timueni zogo, huenda mkashinda.
Makafiri wakaambizana wenyewe kwa wenyewe: Msiisikilize hii Qurani, na inapo somwa nyie leteni porojo lisio kuwa na maana, ili pasiwepo mtu wa kuisikia wala kunafiika kwayo, asaa kwa hivyo mkamshinda Muhammad.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na ilipo waangukia adhabu wakasema: Ewe Musa! Tuombee kwa Mola wako Mlezi kwa aliyo kuahidi.
- Vikaifunika vilivyo funika.
- Utatambua katika nyuso zao mng'aro wa neema,
- Basi tukamsamehe kwa hayo. Naye kwa hakika anao mkaribisho mkubwa na marejeo mazuri kwetu.
- Watu wa Peponi siku hiyo watakuwa katika makaazi bora na mahali penye starehe nzuri.
- Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu!
- Wakasema waheshimiwa wa kaumu ya Firauni: Hakika huyo ni mchawi mjuzi.
- Na walio kanusha Ishara zetu itawagusa adhabu kwa walivyo kuwa wakipotoka.
- Hao wanawake kama mayai yaliyo hifadhika.
- Anaye kadhibisha na kupa mgongo.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Fussilat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Fussilat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Fussilat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers