Surah Nahl aya 35 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَقَالَ الَّذِينَ أَشْرَكُوا لَوْ شَاءَ اللَّهُ مَا عَبَدْنَا مِن دُونِهِ مِن شَيْءٍ نَّحْنُ وَلَا آبَاؤُنَا وَلَا حَرَّمْنَا مِن دُونِهِ مِن شَيْءٍ ۚ كَذَٰلِكَ فَعَلَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ ۚ فَهَلْ عَلَى الرُّسُلِ إِلَّا الْبَلَاغُ الْمُبِينُ﴾
[ النحل: 35]
Na washirikina wanasema: Mwenyezi Mungu angeli taka tusingeli abudu chochote badala yake, sisi wala baba zetu, wala tusingeli harimisha chochote bila ya Yeye. Kama hivyo walifanya walio kuwa kabla yao. Basi lipo lolote juu ya Mitume isipo kuwa kubalighisha kwa uwazi?
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And those who associate others with Allah say, "If Allah had willed, we would not have worshipped anything other than Him, neither we nor our fathers, nor would we have forbidden anything through other than Him." Thus did those do before them. So is there upon the messengers except [the duty of] clear notification?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na washirikina wanasema: Mwenyezi Mungu angeli taka tusingeliabudu chochote badala yake, sisi wala baba zetu, wala tusingeli harimisha chochote bila ya Yeye. Kama hivyo walifanya walio kuwa kabla yao. Basi lipo lolote juu ya Mitume isipo kuwa kubalighisha kwa uwazi?
Na washirikina wakasema kwa inda na ukosefu: Lau kama Mwenyezi Mungu angeli penda tumuabudu Yeye tu peke yake na tumtii kwa anayo tuamuru, basi tusingeli muabudu mwenginewe, wala tusingeli harimisha sisi wenyewe kitu asicho harimisha Yeye kama Bahira na Saiba. Na hii ni hoja potovu wanayo itafutia njia katika ukafiri wao. Na makafiri walio kwisha tangulia walitoa hoja kama hizo, baada ya kuwapelekea Mitume wetu, wakaamrisha Tawhidi (kumuabudu Mwenyezi Mungu Mmoja), na kumtii Yeye, na wakawakataza ushirikina na kuharimisha asivyo harimisha Mwenyezi Mungu. Hoja ikasimama dhidi yao. Na Mitume wetu wakatimiza tuliyo waamrisha wayafikishe. Na juu yetu kuwahisabu wao. Na Mitume hawana jukumu zaidi ya hayo.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hakika wanao amini na wakatenda mema watakuwa na ujira usio na ukomo.
- Na nyinyi mkimt'ii mtu kama nyinyi basi hakika mtakuwa khasarani.
- Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
- Hata alipo fika matokeo ya jua aliliona linawachomozea watu tusio wawekea pazia la kuwakinga nalo.
- Atasema Mwenyezi Mungu: Tokomeeni humo, wala msinisemeze.
- Kwa hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu Mlezi, na ni Mola wenu Mlezi. Basi Muabuduni
- Hakika hao wametengwa na kusikia.
- Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na
- Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.
- Na wakiona Ishara hugeuka upande na husema: Huu uchawi tu unazidi kuendelea.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers