Surah Nahl aya 44 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿بِالْبَيِّنَاتِ وَالزُّبُرِ ۗ وَأَنزَلْنَا إِلَيْكَ الذِّكْرَ لِتُبَيِّنَ لِلنَّاسِ مَا نُزِّلَ إِلَيْهِمْ وَلَعَلَّهُمْ يَتَفَكَّرُونَ﴾
[ النحل: 44]
Kwa Ishara wazi na Vitabu. Nasi tumekuteremshia wewe Ukumbusho ili uwabainishie watu yaliyo teremshwa kwao, wapate kufikiri.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
[We sent them] with clear proofs and written ordinances. And We revealed to you the message that you may make clear to the people what was sent down to them and that they might give thought.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Kwa Ishara wazi na Vitabu. Nasi tumekuteremshia wewe Ukumbusho ili uwabainishie watu yaliyo teremshwa kwao, wapate kufikiri.
Na hao Mitume tuliwaunga mkono kwa miujiza na dalili zilizo wazi za kuthibitisha ukweli wao. Na tuliwateremshia Vitabu vya kuwabainishia sharia zao zenye maslaha yao. Na wewe, ewe Nabii, tumekuteremshia Qurani uwabainishie watu Itikadi na Hikima ziliomo ndani yake, na uwatake waizingatie, kwa kutaraji kuwa watazingatia, na watawaidhika, na mambo yao yanyooke.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ile khabari kuu,
- Akasema: Nitakuja kuombeeni msamaha kwa Mola wangu Mlezi. Hakika Yeye ndiye Mwenye maghfira na Mwenye
- Na nyinyi mkimt'ii mtu kama nyinyi basi hakika mtakuwa khasarani.
- Mola wangu Mlezi! Nijaalie niwe mwenye kushika Sala, na katika dhuriya zangu pia. Ewe Mola
- Na kwamba kwao Mola wako Mlezi ndio mwisho.
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Kama wanaafiki na wale wenye maradhi nyoyoni mwao, na waenezao fitna katika Madina hawatoacha, basi
- Itapo chanika mbingu,
- Hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio badala ya wanawake? Hakika nyinyi ni watu mnao fanya
- Watasema: Tuna nini hata hatuwaoni wale watu ambao tukiwahisabu ndio katika waovu?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers