Surah Naml aya 56 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿۞ فَمَا كَانَ جَوَابَ قَوْمِهِ إِلَّا أَن قَالُوا أَخْرِجُوا آلَ لُوطٍ مِّن قَرْيَتِكُمْ ۖ إِنَّهُمْ أُنَاسٌ يَتَطَهَّرُونَ﴾
[ النمل: 56]
Basi haikuwa jawabu ya watu wake ila ni kusema: Wafukuzeni wafwasi wa Lut'i katika mji wenu. Hao ni watu wanao jitia usafi.
Surah An-Naml in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
But the answer of his people was not except that they said, "Expel the family of Lot from your city. Indeed, they are people who keep themselves pure."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Basi haikuwa jawabu ya watu wake ila ni kusema: Wafukuzeni wafwasi wa Luuti katika mji wenu. Hao ni watu wanao jitia usafi.
Haikuwa jawabu ya watu wake alipo wakataza ila ni kusema: Mtoleeni mbali Luuti na wafwasi wake katika mji huu. Kwani wao wanajitakasa hawataki kushirikiana nasi katika haya tuyatendayo.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kisha apendapo atamfufua.
- Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnabishana juu ya Ibrahim, na hali Taurati na Injili hazikuteremshwa
- Mwenye kuzuia kheri, dhaalimu, mwingi wa madhambi,
- Ama kina A'di walijivuna katika nchi bila ya haki, na wakasema: Nani aliye kuwa na
- Nendeni kwenye kivuli chenye mapande matatu!
- Mkisema: Hakika sisi tumegharimika;
- Basi akatoka, naye ana khofu, akiangalia huku na huku. Akasema: Mola wangu Mlezi! Niokoe na
- Basi tukamwokoa yeye na ahali zake, isipo kuwa mkewe; tukamkadiria katika walio baki nyuma.
- Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa!
- Kitabu kilicho andikwa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Naml with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Naml mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Naml Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



