Surah Hijr aya 59 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِلَّا آلَ لُوطٍ إِنَّا لَمُنَجُّوهُمْ أَجْمَعِينَ﴾
[ الحجر: 59]
Isipo kuwa walio mfuata Luut'i. Bila ya shaka sisi tutawaokoa hao wote.
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Except the family of Lot; indeed, we will save them all
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Isipo kuwa walio mfuata Luuti. Bila ya shaka sisi tutawaokoa hao wote.
Wala hakusalimika na huo ukhalifu na adhabu yake ila ahli zake yeye Luuti. Basi hao Mwenyezi Mungu Mtukufu ametuamrisha tuwaokoe wote.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi wale wajumbe walipo fika kwa Luut'i,
- Hakika wale wafichao aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu katika Kitabu, wakanunua kwacho thamani ndogo, hao hawali
- Na akaingia mjini wakati wa kughafilika wenyeji wake, na akakuta humo watu wawili wanapigana -
- Ni nani kati yenu aliye pandwa na wazimu.
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Wanao mkimbia simba!
- Enyi mlio amini! Msiingie nyumba za Nabii ila mpewe ruhusa kwenda kula, sio kungojea kiwive.
- Mpeleke kesho pamoja nasi, ale kwa furaha na acheze; na bila ya shaka sisi tutamhifadhi.
- Na alikwisha wajia Mjumbe wa miongoni mwao wenyewe. Lakini wakamkanusha; basi iliwafika adhabu hali ya
- Ati tukisha kufa tukawa udongo na mafupa, ndio tutalipwa na kuhisabiwa?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers