Surah Hijr aya 58 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَالُوا إِنَّا أُرْسِلْنَا إِلَىٰ قَوْمٍ مُّجْرِمِينَ﴾
[ الحجر: 58]
Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwa kaumu ya wakosefu!
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
They said, "Indeed, we have been sent to a people of criminals,
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwa kaumu ya wakosefu!
Wakasema hakika sisi tumetumwa na Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa watu walio fanya ukhalifu katika Haki ya Mwenyezi Mungu na haki ya Nabii wao, na haki ya nafsi zao wenyewe. Ukhalifu ndio mtindo wao. Watu wenyewe ni kaumu ya Luuti. Basi tutawateketeza.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na alipo rudi Musa kwa watu wake, naye amekasirika na kuhuzunika, alisema: Ni maovu yalioje
- Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha.
- Je! Hawaoni ya kwamba wanatiwa mtihanini kila mwaka mara moja au mara mbili? Kisha hawatubu,
- Hawakuamini kabla yao watu wa mji tulio uangamiza. Basi, je, wataamini hawa?
- Na ukipata faragha, fanya juhudi.
- Hao malipo yao ni msamaha kwa Mola wao Mlezi, na Bustani zipitazo mito kati yake.
- Isipo kuwa atakaye tubu, na akaamini, na akatenda vitendo vyema. Basi hao Mwenyezi Mungu atayabadilisha
- Na muombe maghfira Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira, Mwenye kurehemu.
- Na mnapenda mali pendo la kupita kiasi.
- Na kumbukeni mlipo kuwa wachache, mkionekana wanyonge katika nchi, mnaogopa watu wasikunyakueni, naye akakupeni pahala
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers