Surah Ahzab aya 71 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿يُصْلِحْ لَكُمْ أَعْمَالَكُمْ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ ۗ وَمَن يُطِعِ اللَّهَ وَرَسُولَهُ فَقَدْ فَازَ فَوْزًا عَظِيمًا﴾
[ الأحزاب: 71]
Apate kukutengenezeeni vitendo vyenu na akusameheni madhambi yenu. Na anaye mt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, bila ya shaka amefanikiwa mafanikio makubwa.
Surah Al-Ahzab in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
He will [then] amend for you your deeds and forgive you your sins. And whoever obeys Allah and His Messenger has certainly attained a great attainment.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Apate kukutengenezeeni vitendo vyenu na akusameheni madhambi yenu. Na anaye mtii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, bila ya shaka amefanikiwa mafanikio makubwa.
Apate kukuwezesheni kutenda mema, na azifute dhambi zenu. Na mwenye kumtii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi huyo amepata kufuzu kukubwa kwa kuepuka adhabu, na kupata thawabu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Walisema wale wakuu walio kufuru katika watu wake: Huyu si chochote ila ni mtu tu
- Na tazama, na wao wataona.
- Unaangamiza kila kitu kwa amri ya Mola wake Mlezi. Wakawa hawaonekani ila nyumba zao tu.
- Na wote wana daraja mbali mbali kutokana na yale waliyo yatenda. Na Mola wako Mlezi
- Je! Huoni jinsi Mola wako Mlezi anavyo kitandaza kivuli. Na angeli taka angeli kifanya kikatulia
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha.
- Asubuhi wakaitana.
- Na mitende mirefu yenye makole yaliyo zaa kwa wingi,
- Na ilipo wafikia Haki wakasema: Huu ni uchawi, na sisi hakika tunaukataa.
- Na wale walio fuata dini ya Kiyahudi tumewaharimishia kila mwenye kucha. Na katika ng'ombe na
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ahzab with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ahzab mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ahzab Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers