Surah Hijr aya 80 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَقَدْ كَذَّبَ أَصْحَابُ الْحِجْرِ الْمُرْسَلِينَ﴾
[ الحجر: 80]
Na bila ya shaka wakaazi wa Hijr waliwakanusha Mitume.
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And certainly did the companions of Thamud deny the messengers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na bila ya shaka wakaazi wa Hijr waliwakanusha Mitume.
Na kama walio tangulia hali kadhaalika wakaazi wa Hijr walimkanusha Mtume wao aliye tumwa kwao, na kwa hivyo wakawa wamewakanusha Mitume wote. Kwani ujumbe wa Mwenyezi Mungu ni mmoja. Watu wa Hijr ndio Thamud. Na Hijr ni bonde baina ya Madina na Sham. Tazama maelezo juu ya Aya 73 ya Surat Al-AAraaf.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na
- Kwani hatukukuumbeni kwa maji ya kudharauliwa?
- Na tukaufanya mchana ni wa kuchumia maisha?
- Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha.
- Na Firauni na walio mtangulia, na miji iliyo pinduliwa chini juu, walileta khatia.
- Na hakika tulikwisha mpa Ibrahim uwongofu wake zamani, na tulikuwa tunamjua.
- Hao malipo yao ni kuwa ipo juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika
- Basi mcheni Mwenyezi Mungu kama mwezavyo, na sikieni, na t'iini, na toeni, itakuwa kheri kwa
- Basi Saleh akwaacha na akasema: Enyi watu wangu! Nilikufikishieni Ujumbe wa Mola wangu Mlezi, na
- Wakae humo karne baada ya karne,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers