Surah Nahl aya 8 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَالْخَيْلَ وَالْبِغَالَ وَالْحَمِيرَ لِتَرْكَبُوهَا وَزِينَةً ۚ وَيَخْلُقُ مَا لَا تَعْلَمُونَ﴾
[ النحل: 8]
Na farasi, na nyumbu, na punda ili muwapande, na kuwa ni pambo. Na ataumba msivyo vijua.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And [He created] the horses, mules and donkeys for you to ride and [as] adornment. And He creates that which you do not know.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na farasi, na nyumbu, na punda ili muwapande, na kuwa ni pambo.Na ataumba msivyo vijua.
Na Mwenyezi Mungu amekuumbieni farasi, na nyumbu, na punda mpate kuwapanda. Na mnawafanya ni pambo la kuingiza furaha katika nyoyo zenu. Na Mwenyezi Mungu atakuja umba msivyo vijua sasa, katika vyombo vya kupanda na vya kukata masafa miongoni mwa alivyo msahilishia Mwenyezi Mungu binaadamu pindi akitumia akili yake na akafikiri kwayo, na akaongoka kwa kutumia kila uwezo.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na wale wanao jitenga na wake zao, kisha wakarudia katika yale waliyo yasema, basi wamkomboe
- Bali sisi tumenyimwa.
- Na kumbukeni yasomwayo majumbani mwenu katika Aya za Mwenyezi Mungu na hikima. Kwa hakika Mwenyezi
- Yule ambaye Mwenyezi Mungu amemhidi basi huyo amehidika; na alio waacha kupotea basi hao ndio
- Ati tukifa na tukawa udongo...? Kurejea huko kuko mbali!
- Watasema, na hali ya kuwa wanazozana humo:
- Alif Lam Ra. (A. L. R.) Hichi ni Kitabu tulicho kiteremsha kwako ili uwatowe watu
- Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
- Na yakimbilieni maghfira ya Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni mbingu na
- Sema: Mimi nakuonyeni kwa Wahyi. Na viziwi hawasikii wito wanapo onywa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers