Surah Nisa aya 111 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَمَن يَكْسِبْ إِثْمًا فَإِنَّمَا يَكْسِبُهُ عَلَىٰ نَفْسِهِ ۚ وَكَانَ اللَّهُ عَلِيمًا حَكِيمًا﴾
[ النساء: 111]
Na anaye chuma dhambi, basi ameichumia nafsi yake mwenyewe. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye hikima.
Surah An-Nisa in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And whoever commits a sin only earns it against himself. And Allah is ever Knowing and Wise.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na anaye chuma dhambi, basi ameichumia nafsi yake mwenyewe. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye hikima.
Hakika madhara ya madhambi ni juu ya yule yule ayatendayo. Mwenye kuchuma madhambi basi anajidhuru mwenyewe. Na alitendalo linamuangukia mwenyewe. Na Mwenyezi Mungu Aliye takasika na kutukuka anajua aliyo yatenda, na atamchukulia kwa mujibu wa hikima yake. Atamuadhibu au atamsamehe kwa mujibu wa hikima yake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Katika makalio ya haki kwa Mfalme Mwenye uweza.
- Na anapo kijua kitu kidogo katika Aya zetu hukifanyia mzaha. Watu hao ndio watakao kuwa
- Na mshike Sala, na mcheni Yeye, na kwake Yeye ndiko mtako kusanywa.
- Na hakika tulikwisha andika katika Zaburi baada ya Kumbukumbu, ya kwamba nchi watairithi waja wangu
- Ati anadhani binaadamu kuwa ataachwa bure?
- Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia.
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Na maji yanayo miminika,
- Na siku hiyo tutawaacha wakisongana wao kwa wao. Na baragumu litapulizwa, na wote watakusanywa pamoja.
- Ama walio amini na wakatenda mema watafurahishwa katika Bustani.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nisa with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nisa mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nisa Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers