Surah Nahl aya 112 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَضَرَبَ اللَّهُ مَثَلًا قَرْيَةً كَانَتْ آمِنَةً مُّطْمَئِنَّةً يَأْتِيهَا رِزْقُهَا رَغَدًا مِّن كُلِّ مَكَانٍ فَكَفَرَتْ بِأَنْعُمِ اللَّهِ فَأَذَاقَهَا اللَّهُ لِبَاسَ الْجُوعِ وَالْخَوْفِ بِمَا كَانُوا يَصْنَعُونَ﴾
[ النحل: 112]
Na Mwenyezi Mungu amepiga mfano wa mji ulio kuwa na amani na utulivu, riziki yake ikiufikia kwa nafasi kutoka kila mahali. Lakini ukazikufuru neema za Mwenyezi Mungu; kwa hivyo Mwenyezi Mungu akauvika vazi la njaa na khofu kwa sababu ya yale waliyo kuwa wakiyafanya.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And Allah presents an example: a city which was safe and secure, its provision coming to it in abundance from every location, but it denied the favors of Allah. So Allah made it taste the envelopment of hunger and fear for what they had been doing.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Mwenyezi Mungu amepiga mfano wa mji ulio kuwa na amani na utulivu, riziki yake ikiufikia kwa nafasi kutoka kila mahali. Lakini ukazikufuru neema za Mwenyezi Mungu; kwa hivyo Mwenyezi Mungu akauvika vazi la njaa na khofu kwa sababu ya yale waliyo kuwa wakiyafanya.
Na Mwenyezi Mungu Subhanahu amewapigia mfano watu wa Makka kisa cha mji mmojapo. Watu wake walikuwa wamekaa kwa amani, hawana adui anaye waingilia. Wametua, hawana dhiki ya maisha, riziki inawajia kwa wasaa kutoka kila pahali. Wakazibeua neema za Mwenyezi Mungu, wasimshukuru kwa kumtii na kutekeleza amri zake. Mwenyezi Mungu akawapatiliza kwa masaibu yaliyo wazunguka kila upande. Wakaonja uchungu wa njaa na vitisho, baada ya utajiri na amani walio kuwa nayo. Na hayo kwa sababu ya kukakamia kwao katika ukafiri na maasi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi anaye penda akumbuke.
- Na wanawake walio achwa wapewe cha kuwaliwaza kwa mujibu wa Sharia. Haya ni waajibu kwa
- Na matunda wayapendayo,
- Na pale Mwenyezi Mungu alipo fungamana na walio pewa Kitabu kuwa: Lazima mtawabainishia watu, wala
- Basi waache wapige porojo na wacheze, mpaka wakutane na siku yao wanayo ahidiwa,
- Na katika Ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na wanyama alio waeneza. Naye ni
- Kina Thamud waliwakanusha Mitume.
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Basi ole wao siku hiyo hao wanao kadhibisha,
- Na walio kufuru vitendo vyao ni kama sarabi (mazigazi) uwandani. Mwenye kiu huyadhania ni maji.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers