Surah Shuara aya 210 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَمَا تَنَزَّلَتْ بِهِ الشَّيَاطِينُ﴾
[ الشعراء: 210]
Wala Mashet'ani hawakuteremka nayo,
Surah Ash-Shuara in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And the devils have not brought the revelation down.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wala Mashetani hawakuteremka nayo,
Qurani inakataa waliyo yasema makafiri wa Makka ya kwamba Muhammad anafuata majini, nao ndio wanampa Qurani. Qurani inasema: Mashetani hawakuiteremsha hii Qurani.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ataambiwa: Soma kitabu chako! Nafsi yako inakutosha leo kukuhisabu.
- Na msimfanyie kiburi Mwenyezi Mungu; hakika mimi nitakuleteeni uthibitisho ulio wazi.
- Bali alikanusha, na akageuka.
- Au iko kwao siri, basi wao wanaiandika?
- Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari. Sema: Katika hivyo zipo dhambi kubwa na manufaa kwa
- Na wanapo kumbushwa hawakumbuki.
- Mwenyezi Mungu akasema: Hakika Mimi nitakuteremshieni hicho. Lakini yeyote katika nyinyi atakaye kanya baadae, basi
- Hakika Yeye ana uweza wa kumrudisha.
- Na ili walio pewa ilimu wajue kuwa hayo ni Haki itokayo kwa Mola wako Mlezi
- Na usiku. Basi je! Hamyatii akilini?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Shuara with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Shuara mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Shuara Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



