Surah Anfal aya 3 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الَّذِينَ يُقِيمُونَ الصَّلَاةَ وَمِمَّا رَزَقْنَاهُمْ يُنفِقُونَ﴾
[ الأنفال: 3]
Hao ambao wanashika Sala na wanatoa katika yale tunayo waruzuku.
Surah Al-Anfal in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
The ones who establish prayer, and from what We have provided them, they spend.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hao ambao wanashika Swala na wanatoa katika yale tunayo waruzuku.
Na hao Waumini walio wa kweli katika Imani, wanashika Swala kwa kutimiza nguzo zake, na kukamilisha unyenyekevu na utiifu, ili wawe daima katika kumkumbuka Mwenyezi Mungu, na wanatoa katika mali aliyo waruzuku Mwenyezi Mungu Subhanahu wa Taala, kwa ajili ya Jihadi, na mambo yote ya kheri, na kuwasaidia wanyonge.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Nao huwazuia watu, na wao wenyewe wanajitenga nayo. Nao hawaangamizi ila nafsi zao tu, wala
- Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa.
- Kwa hakika Jahannamu ndiyo makaazi yake!
- Hakika zilikuwa Aya zangu mkisomewa, nanyi mkirudi nyuma juu ya visigino vyenu,
- Walio kufuru miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina hawapendi mteremshiwe kheri yoyote kutoka kwa
- Na nyinyi wakati huo mnatazama!
- Je, watu wa mijini wameaminisha ya kuwa adhabu yetu haitawafika usiku, nao wamelala?
- Hakika Sisi tumekutuma wewe kwa Haki, kuwa ni mbashiri na mwonyaji. Na hapana umma wowote
- Huo ndio mwisho wao wa ujuzi. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi mwenye
- Nenda kwa Firauni. Hakika yeye amezidi jeuri.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Anfal with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Anfal mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Anfal Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



