Surah Muzammil aya 5 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّا سَنُلْقِي عَلَيْكَ قَوْلًا ثَقِيلًا﴾
[ المزمل: 5]
Hakika Sisi tutakuteremshia kauli nzito.
Surah Al-Muzzammil in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, We will cast upon you a heavy word.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
ka Hakika Sisi tutakuteremshia uli nzito.
Ewe Mtume! Hakika Sisi tutakuteremshia Qurani yenye kukusanya amri, na makatazo, na takalifu nzito nzito.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na huwi katika jambo lolote, wala husomi sehemu yoyote katika Qur'ani, wala hamtendi kitendo chochote
- Walio hai na maiti?
- Na lau kuwa si neema ya Mola wangu Mlezi bila ya shaka ningeli kuwa miongoni
- Na tukawaachia (sifa njema) katika watu walio kuja baadaye.
- Wapate kufahamu maneno yangu.
- Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu Siku ya Kiyama katika hayo mnayo khitalifiana.
- Na wanawake walio achwa wangoje peke yao mpaka t'ahara (au hedhi) tatu zipite. Wala haiwajuzii
- Watavaa hariri nyepesi na hariri nzito wakikabiliana,
- Na wanaapa kwa Mwenyezi Mungu ukomo wa viapo vyao kwamba Mwenyezi Mungu hatomfufua aliye kufa.
- Na enyi wakosefu! Jitengeni leo!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Muzammil with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Muzammil mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Muzammil Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers