Surah Hijr aya 75 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَاتٍ لِّلْمُتَوَسِّمِينَ﴾
[ الحجر: 75]
Hakika katika hayo zipo ishara kwa waaguzi.
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed in that are signs for those who discern.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika katika hayo zipo ishara kwa waaguzi.
Haya yaliyo washukia kaumu Luuti ni alama wazi ya kuonyesha vipi Mwenyezi Mungu Mtukufu anavyo timiza ahadi yake. Wajuao mambo wanayatambua hayo, na wanayaelewa matokeo yake kwa alama zake, kwani kila kitendo chenye sifa ya ukosefu kina alama yake isiyo potea. Matokeo yake ni mfano wa haya, duniani na Akhera.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na bila ya shaka wakaazi wa Hijr waliwakanusha Mitume.
- Mbona hutuletei Malaika ikiwa wewe ni miongoni mwa wasemao kweli?
- Anaye kadhibisha na kupa mgongo.
- Wakuletee kila mchawi bingwa mtaalamu.
- Sema: Sioni katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho harimishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa
- Na wengine wafungwao kwa minyororo.
- Kwa manufaa yenu na mifugo yenu.
- Je! Imekuwa ajabu kwa watu kwamba tumemfunulia mmoja wao kuwa: Waonye watu, na wabashirie wale
- Na utapo ambatishwa muundi kwa muundi,
- Huenda tutawafuata wachawi wakiwa wao ndio watakao shinda.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers