Surah Muzammil aya 4 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَوْ زِدْ عَلَيْهِ وَرَتِّلِ الْقُرْآنَ تَرْتِيلًا﴾
[ المزمل: 4]
Au izidishe - na soma Qur'ani kwa utaratibu na utungo.
Surah Al-Muzzammil in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Or add to it, and recite the Qur'an with measured recitation.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Au izidishe - na soma Qurani kwa utaratibu na utungo.
Au zidisha kwenye nusu mpaka ifikie thuluthi mbili. Na soma Qurani kwa pole pole ukibainisha harufi, na pa kusita usite, pasiwe na nuksani yoyote.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hakika nyinyi mnayo ruwaza njema kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anaye mtaraji Mwenyezi Mungu
- Na vya Ibrahimu aliye timiza ahadi?
- Je! Mnayaona maji mnayo yanywa?
- Yeye ndiye aliye kuumbeni katika nafsi moja; na katika hiyo hiyo akamfanya mwenzi wake, ili
- Na mwitaji kumwendea Mwenyezi Mungu kwa idhini yake, na taa yenye kutoa nuru.
- Hakika Sisi tumeipamba mbingu ya karibu kwa pambo la nyota.
- Je! Mmemuona Lata na Uzza?
- Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu, na ahadi yake aliyo fungamana nanyi
- Wakasema: Mwache kidogo yeye na nduguye, na watume mijini wakusanyao,
- Je! Yule mwenye kustahiki hukumu ya adhabu, je, wewe unaweza kumwokoa aliyomo katika Moto?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Muzammil with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Muzammil mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Muzammil Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers