Surah Naml aya 65 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قُل لَّا يَعْلَمُ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ الْغَيْبَ إِلَّا اللَّهُ ۚ وَمَا يَشْعُرُونَ أَيَّانَ يُبْعَثُونَ﴾
[ النمل: 65]
Sema: Hapana katika mbingu na ardhi ajuaye ya ghaibu isipo kuwa Mwenyezi Mungu. Wala wao hawajui lini watafufuliwa.
Surah An-Naml in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Say, "None in the heavens and earth knows the unseen except Allah, and they do not perceive when they will be resurrected."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Sema: Hapana katika mbingu na ardhi ajuaye ya ghaibu isipo kuwa Mwenyezi Mungu. Wala wao hawajui lini watafufuliwa.
Sema, ewe Mtume: Hakika mwenye kutenda yote haya peke yake ndiye Yeye Subhanahu aliye tengeka peke yake kwa kuyajua mambo ya ghaibu yalioko mbinguni na duniani. Na Yeye huyo ndiye Mwenyezi Mungu wa pekee. Wala watu hawajui wakati gani watafufuliwa kutoka makaburini kwao kwa ajili ya kuhisabiwa na kulipwa.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na ikamsikiliza Mola wake Mlezi, na ikapasiwa kumsikiliza,
- Na Mwenyezi Mungu angeli taka, kwa yakini angeli kufanyeni umma mmoja. Lakini anamwachia kupotea anaye
- Bali wanasema kama walivyo sema watu wa kwanza.
- Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi.
- Siku kitapo tetemeka cha kutetemeka,
- Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi,
- Haya ndiyo mliyo ahidiwa kwa Siku ya Hisabu.
- Basi ukelele ukawatwaa asubuhi.
- Wakasema: Bila shaka umekwisha jua hatuna haki juu ya binti zako, na unayajua tunayo yataka.
- Na akalifanya hili liwe neno lenye kubaki katika vizazi vyake ili warejee.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Naml with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Naml mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Naml Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers