Surah Nahl aya 71 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَاللَّهُ فَضَّلَ بَعْضَكُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ فِي الرِّزْقِ ۚ فَمَا الَّذِينَ فُضِّلُوا بِرَادِّي رِزْقِهِمْ عَلَىٰ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُمْ فَهُمْ فِيهِ سَوَاءٌ ۚ أَفَبِنِعْمَةِ اللَّهِ يَجْحَدُونَ﴾
[ النحل: 71]
Na Mwenyezi Mungu amewafadhilisha baadhi yenu kuliko wengine katika riziki. Na wale walio fadhilishwa hawarudishi riziki zao kwa wale ilio wamiliki mikono yao ya kulia ili wawe sawa katika riziki hiyo. Basi je, wanazikataa neema za Mwenyezi Mungu?
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And Allah has favored some of you over others in provision. But those who were favored would not hand over their provision to those whom their right hands possess so they would be equal to them therein. Then is it the favor of Allah they reject?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Mwenyezi Mungu amewafadhilisha baadhi yenu kuliko wengine katika riziki. Na wale walio fadhilishwa hawarudishi riziki zao kwa wale ilio wamiliki mikono yao ya kulia ili wawe sawa katika riziki hiyo. Basi je, wanazikataa neema za Mwenyezi Mungu?
Na Mwenyezi Mungu amewafadhilisha baadhi yenu kwa riziki kuliko wengineo. Amemruzuku bwana mwenye kumiliki kuliko mtumwa mamluki. Wala walio ruzukiwa kingi hawawapi watumwa wao hata nusu ya riziki yao, ili wapate kuwa wote na riziki sawa! Basi ikiwa hawa makafiri hawakubali watumwa wao washirikiane nao katika riziki iliyo toka kwa Mwenyezi Mungu, nao wote ni wanaadamu kama wao, basi vipi wao wanataka kumshirikisha Mwenyezi Mungu na viumbe vyake katika mambo yasio kuwa laiki naye Subhanahu wa Taala, nako ni kustahiki kuabudiwa? Basi je, macho ya hao washirikina yataendelea kufumbika baada ya yote haya, wakabaki wakipinga neema za Mwenyezi Mungu juu yao kwa kumshirikisha Yeye na wengineo?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Nasi hatukukutuma ila uwe ni Rehema kwa walimwengu wote.
- Na tumemwachia (sifa nzuri) kwa walio kuja baadaye.
- Na alipo liona jua linachomoza akasema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Huyu mkubwa kuliko wote.
- Enyi mlio amini! Msiwafanye adui zangu na adui zenu kuwa marafiki mkiwapa mapenzi, na hali
- Kwa hakika tumevifanya vilioko juu ya ardhi kuwa ni pambo lake ili tuwafanyie mtihani, ni
- Na nini kitakujuulisha nini hilo Tukio la haki?
- Mola Mlezi wao, akayakubali maombi yao akajibu: Hakika sipotezi kazi ya mfanya kazi miongoni mwenu,
- Hao ndio makafiri kweli. Na tumewaandalia makafiri adhabu ya kudhalilisha.
- Na mkikhitalifiana katika jambo lolote, basi hukumu yake iko kwa Mwenyezi Mungu. Huyo Mwenyezi Mungu
- Anaye mkataa Mwenyezi Mungu baada ya kuamini kwake - isipo kuwa aliye lazimishwa na hali
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers