Surah Tawbah aya 78 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَلَمْ يَعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ يَعْلَمُ سِرَّهُمْ وَنَجْوَاهُمْ وَأَنَّ اللَّهَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ﴾
[ التوبة: 78]
Je, hawajui kwamba Mwenyezi Mungu anajua siri zao na minong'ono yao, na kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua sana ya ghaibu?
Surah At-Tawbah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Did they not know that Allah knows their secrets and their private conversations and that Allah is the Knower of the unseen?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Je, hawajui kwamba Mwenyezi Mungu anajua siri zao na minongono yao, na kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua sana ya ghaibu?
Vipi wanajitia ujinga na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwajua vyema? Hapana chochote wanacho dhamiria kisirisiri katika kuvunja ahadi kinacho fichikana kwake. Wala wanacho kinongona kwa uficho katika kuitia kombo Dini na kuwapangia njama Waislamu. Naye, aliye tukuka shani yake, ni Mjuzi mno hapitikiwi na kitu chochote..
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi wakapanga mipango yao, na Sisi tukapanga mipango yetu, na wao hawatambui.
- Au mnacho kitabu ambacho ndani yake mnasoma?
- Sema: Mimi nakuonyeni kwa Wahyi. Na viziwi hawasikii wito wanapo onywa.
- Literemshalo linyanyualo,
- Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
- Lakini wana jambo gani hata Mwenyezi Mungu asiwaadhibu, na hali ya kuwa wanawazuilia watu Msikiti
- Na wapo miongoni mwao wanao kusikiliza. Je, wewe unaweza kuwafanya viziwi wasikie ijapo kuwa hawafahamu?
- Hakika hao hawakuwa wakitaraji kuwa kuna hisabu.
- Basi ingia miongoni mwa waja wangu,
- Sema: Njooni nikusomeeni aliyo kuharimishieni Mola wenu Mlezi. Nayo ni kuwa, msimshirikishe Yeye na chochote.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Tawbah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Tawbah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Tawbah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers