Surah Zukhruf aya 82 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿سُبْحَانَ رَبِّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ رَبِّ الْعَرْشِ عَمَّا يَصِفُونَ﴾
[ الزخرف: 82]
Ametakasika Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, Mola Mlezi wa A'rshi, na hayo wanayo msifia.
Surah Az-Zukhruf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Exalted is the Lord of the heavens and the earth, Lord of the Throne, above what they describe.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ametakasika Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, Mola Mlezi wa Arshi, na hayo wanayo msifia.
Ametakasika kwa mtakasiko wa Mwenye kuziumba mbingu na ardhi na Arshi Tukufu, kwa yote wanayo msifia washirikina, ambayo hayaelekeani na Ungu wake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Anapo somewa Aya zetu husema: Ni visa vya watu wa kale!
- Enyi mlio amini! Yanapo mfikia mauti mmoja wenu na akataka kutoa wasia, basi wawepo mashahidi
- Na wanasema: Ahadi hii itakuwa lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli?
- Alipo mwambia baba yake: Ewe baba yangu! Kwa nini unaabudu visivyo sikia, na visivyo ona,
- Sawa sawa kwao, ukiwatakia maghfira au hukuwatakia maghfira, Mwenyezi Mungu hatawaghufiria. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi
- Ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza?
- Na kwa mchana unapo lidhihirisha!
- Na kwamba wao husema wasiyo yatenda?
- Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri.
- Na akalifanya jua na mwezi kwa manufaa yenu daima dawamu, na akaufanya usiku na mchana
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Zukhruf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Zukhruf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Zukhruf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers