La sourate Al-Adiyat en Swahili
وَالْعَادِيَاتِ ضَبْحًا(1) Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumua, |
فَالْمُورِيَاتِ قَدْحًا(2) Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini, |
فَالْمُغِيرَاتِ صُبْحًا(3) Wakishambulia wakati wa asubuhi, |
فَأَثَرْنَ بِهِ نَقْعًا(4) Huku wakitimua vumbi, |
فَوَسَطْنَ بِهِ جَمْعًا(5) Na wakijitoma kati ya kundi, |
إِنَّ الْإِنسَانَ لِرَبِّهِ لَكَنُودٌ(6) Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi! |
وَإِنَّهُ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٌ(7) Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo! |
وَإِنَّهُ لِحُبِّ الْخَيْرِ لَشَدِيدٌ(8) Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali! |
۞ أَفَلَا يَعْلَمُ إِذَا بُعْثِرَ مَا فِي الْقُبُورِ(9) Kwani hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburini? |
وَحُصِّلَ مَا فِي الصُّدُورِ(10) Na yakakusanywa yaliomo vifuani? |
إِنَّ رَبَّهُم بِهِمْ يَوْمَئِذٍ لَّخَبِيرٌ(11) Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote! |
Plus de sourates en Swahili :
Téléchargez la sourate avec la voix des récitants du Coran les plus célèbres :
Téléchargez le fichier mp3 de la sourate Al-Adiyat : choisissez le récitateur pour écouter et télécharger la sourate Al-Adiyat complète en haute qualité.















Donnez-nous une invitation valide