🔥 0 siku mfululizo
0/17
86:1
🔁 0/5
وَٱلسَّمَآءِ وَٱلطَّارِقِ ١
Wassamaaa`i wattaariq
Naapa kwa mbingu na Kinacho kuja usiku!
🎤 Rekodi yako:
86:2
🔁 0/5
وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا ٱلطَّارِقُ ٢
Wa maaa adraaka mattaariq
Na nini kitakacho kujuulisha ni nini hicho Kinacho kuja usiku?
🎤 Rekodi yako:
86:3
🔁 0/5
ٱلنَّجۡمُ ٱلثَّاقِبُ ٣
Annajmus saaqib
Ni Nyota yenye mwanga mkali.
🎤 Rekodi yako:
86:4
🔁 0/5
إِن كُلُّ نَفۡسٍ لَّمَّا عَلَيۡهَا حَافِظٌ ٤
In kullu nafsil lammaa `alaihaa haafiz
Hapana nafsi ila inayo mwangalizi.
🎤 Rekodi yako:
86:5
🔁 0/5
فَلۡيَنظُرِ ٱلۡإِنسَٰنُ مِمَّ خُلِقَ ٥
Fal yanzuril insaanu mimma khuliq
Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?
🎤 Rekodi yako:
86:6
🔁 0/5
خُلِقَ مِن مَّآءٍ دَافِقٍ ٦
Khuliqa mim maaa`in daafiq
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
🎤 Rekodi yako:
86:7
🔁 0/5
يَخۡرُجُ مِنۢ بَيۡنِ ٱلصُّلۡبِ وَٱلتَّرَآئِبِ ٧
Yakhruju mim bainissulbi wat taraaa`ib
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
🎤 Rekodi yako:
86:8
🔁 0/5
إِنَّهُۥ عَلَىٰ رَجۡعِهِۦ لَقَادِرٌ ٨
Innahoo `alaa raj`ihee laqaadir
Hakika Yeye ana uweza wa kumrudisha.
🎤 Rekodi yako:
86:9
🔁 0/5
يَوۡمَ تُبۡلَى ٱلسَّرَآئِرُ ٩
Yawma tublas saraaa`ir
Siku zitakapo dhihirishwa siri.
🎤 Rekodi yako:
86:10
🔁 0/5
فَمَا لَهُۥ مِن قُوَّةٍ وَلَا نَاصِرٍ ١٠
Famaa lahoo min quwwatinw wa laa naasir
Basi hatakuwa na nguvu wala msaidizi.
🎤 Rekodi yako:
86:11
🔁 0/5
وَٱلسَّمَآءِ ذَاتِ ٱلرَّجۡعِ ١١
Wassamaaa`i zaatir raj
Naapa kwa mbingu yenye marejeo!
🎤 Rekodi yako:
86:12
🔁 0/5
وَٱلۡأَرۡضِ ذَاتِ ٱلصَّدۡعِ ١٢
Wal ardi zaatis sad
Na kwa ardhi inayo pasuka!
🎤 Rekodi yako:
86:13
🔁 0/5
إِنَّهُۥ لَقَوۡلٌ فَصۡلٌ ١٣
Innahoo laqawlun fasl
Hakika hii ni kauli ya kupambanua.
🎤 Rekodi yako:
86:14
🔁 0/5
وَمَا هُوَ بِٱلۡهَزۡلِ ١٤
Wa maa huwa bil hazl
Wala si mzaha.
🎤 Rekodi yako:
86:15
🔁 0/5
إِنَّهُمۡ يَكِيدُونَ كَيۡدًا ١٥
Innahum yakeedoona kaidaa
Hakika wao wanapanga mpango.
🎤 Rekodi yako:
86:16
🔁 0/5
وَأَكِيدُ كَيۡدًا ١٦
Wa akeedu kaidaa
Na Mimi napanga mpango.
🎤 Rekodi yako:
86:17
🔁 0/5
فَمَهِّلِ ٱلۡكَٰفِرِينَ أَمۡهِلۡهُمۡ رُوَيۡدَۢا ١٧
Famahhilil kaafireena amhilhum ruwaidaa
Basi wape muhula makafiri - wape muhula pole pole.
🎤 Rekodi yako:
💡 Gusa neno lililofichwa ili lionekane kwa muda — maendeleo yako yanahifadhiwa kiotomatiki.
العربيةEnglishBahasa IndonesiaTürkçeРусскийفارسیFrançaisاردوবাংলাDeutschEspañol中文हिन्दीPortuguêsItalianoภาษาไทยPolskiNederlandsShqipKiswahiliO'zbekதமிழ்MelayuBosanskiSoomaaliAzərbaycanکوردی한국어日本語SvenskaDanskNorskپښتوമലയാളംසිංහලTamazightHausaአማርኛБългарскиТоҷикӣҚазақшаFilipinoسنڌيYorùbáFulfuldeТатарчаئۇيغۇرچەКыргызчаਪੰਜਾਬੀJawaతెలుగుမြန်မာગુજરાતીOromoमराठीTiếng ViệtMalagasyНохчийнWolofދިވެހިಕನ್ನಡУкраїнськаΕλληνικάქართულიខ្មែរدریQafar afMaranaoनेपाली
Kurani Tukufu
Tuesday, August 18, 2026
Usitusahau katika dua zako njema







