Sura An-Nas kwa Kiarabu na Kiswahili

Soma Sura An-Nas na tafsiri kamili ya Kiswahili, maandishi na usomaji wa sauti. Tafsiri aya kwa aya. (6 Aya — مكية). An-Nas Sikiliza, An-Nas Tafsiri, An-Nas mp3, An-Nas pdf.

Soma na Sikiliza Sura An-Nas

🎧 Aya
M Mishary Rashid Alafasy
M Mahmoud Khalil Al-Husary
A Abdurrahman As-Sudais
M Mohamed Siddiq Al-Minshawi
A Abdul Basit Abdul Samad
A Ali Al-Hudhaify
A Ahmed ibn Ali al-Ajamy
A Abu Bakr Ash-Shaatree
M Muhammad Ayyoub
A Abdullah Basfar
A Abdullah Al-Juhani
M Maher Al Muaiqly
x1
قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ النَّاسِ ۝١
📖 Tafsiri Aya 1
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
مَلِكِ النَّاسِ ۝٢
📖 Tafsiri Aya 2
Mfalme wa wanaadamu,
إِلَٰهِ النَّاسِ ۝٣
📖 Tafsiri Aya 3
Mungu wa wanaadamu,
مِن شَرِّ الْوَسْوَاسِ الْخَنَّاسِ ۝٤
📖 Tafsiri Aya 4
Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,
الَّذِي يُوَسْوِسُ فِي صُدُورِ النَّاسِ ۝٥
📖 Tafsiri Aya 5
Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,
مِنَ الْجِنَّةِ وَالنَّاسِ ۝٦
📖 Tafsiri Aya 6
Kutokana na majini na wanaadamu.
← 113 An-Nas (114/114)
Soma Sura An-Nas kwa Kiswahili – Tafsiri na Sauti

114الناس An-Nas 📚 6 Aya مكية



Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema