Surah Sad aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿ص ۚ وَالْقُرْآنِ ذِي الذِّكْرِ﴾
[ ص: 1]
S'ad, Naapa kwa Qur'ani yenye mawaidha.
Surah Saad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Sad. By the Qur'an containing reminder...
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
sad, Naapa kwa Qurani yenye mawaidha.
sad: Ni harufi iliyo anzia Sura hii kama zilivyo anzia baadhi ya Sura nyengine kwa mpango wa Qurani katika kuanzia kwa harufi moja moja. Naapa kwa Qurani yenye utukufu na shani kubwa kuwa hakika hii ni Kweli isiyo na shaka yoyote.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hawangojei ila ukelele mmoja tu utakao wachukua nao wamo kuzozana.
- Na katika mali yao ipo haki ya mwenye kuomba na asiye omba.
- Ametukuka aliye teremsha Furqani kwa mja wake, ili awe mwonyaji kwa walimwengu wote.
- Na walisema: Kwa nini Qur'ani hii haikuteremshwa kwa mtu mkubwa katika miji miwili hii?
- (Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni!
- Na mfalme akasema: Mleteni kwangu! Basi mjumbe alipo mjia Yusuf alisema: Rejea kwa bwana wako
- Ndio wewe unampuuza?
- Bali tuliwastarehesha hawa na baba zao mpaka umri ukawa mrefu kwao. Je, hawaoni ya kwamba
- Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
- Amemuumba mtu kwa udongo wa kinamo..
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Sad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Sad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Sad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers