Surah Nuh aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّا أَرْسَلْنَا نُوحًا إِلَىٰ قَوْمِهِ أَنْ أَنذِرْ قَوْمَكَ مِن قَبْلِ أَن يَأْتِيَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ﴾
[ نوح: 1]
Hakika Sisi tulimtuma Nuh'u kwa watu wake: Uwaonye kaumu yako kabla ya kuwafikia adhabu chungu.
Surah Nuh in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, We sent Noah to his people, [saying], "Warn your people before there comes to them a painful punishment."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika Sisi tulimtuma NuHu kwa watu wake: Uwaonye kaumu yako kabla ya kuwafikia adhabu chungu.
Hakika Sisi tulimtuma NuHu kwa watu wake, na tukamwambia: Waonye watu wako kabla haijawajia adhabu yenye machungu makali.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na laiti wao wangeli ridhia kile alicho wapa Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na wakasema:
- Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu wananunua upotovu na wanakutakeni nanyi mpotee njia?
- Siku watapo sukumwa kwenye Moto kwa msukumo wa nguvu,
- Lakini nyinyi mnakhiari maisha ya dunia!
- Kwani hatukukuumbeni kwa maji ya kudharauliwa?
- Na mkifa au mkiuliwa ni kwa Mwenyezi Mungu ndio mtakusanywa.
- Kwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyo ziumba mbingu saba kwa matabaka?
- Wakasema: Mola wetu Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu.
- Na tunaweka vifuniko juu ya nyoyo zao wasije wakaifahamu, na tunaweka kwenye masikio yao uziwi.
- Hakika Sisi tumemimina maji kwa nguvu,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nuh with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nuh mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nuh Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers