Surah An Naba aya 13 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَجَعَلْنَا سِرَاجًا وَهَّاجًا﴾
[ النبأ: 13]
Na tukaifanya taa yenye mwanga na joto;
Surah An-Naba in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And made [therein] a burning lamp
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na tukaifanya taa yenye mwanga na joto;
Na Sisi tumeliumba jua lenye mwangaza na linalo waka. Makusudio ya Assiraj Alwahhaaj, Taa yenye mwanga na joto, ni Jua. Na hayo kama ilivyo thibiti katika sayansi kuwa daraja ya joto la uso wake inafika daraja 6000. Ama kati yake daraja yake inazidi daraja 30 milioni kwa sababu ya mdidimizo mkubwa unao patikana juu ya madda ziliomo ndani yake. Na jua linatoa nishati hizi zifuatazo: 9 katika 100 ya miale ya Ultraviolet rays, 46 katika 100 ya miale ya mwangaza, 45 katika 100 miale ya joto, au Infra red rays. Na kwa hivyo hii Aya tukufu imeliita kuwa ni Taa yenye mwangaza na joto.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wala hahimizi kulisha masikini.
- Mpaka tulipo wafungulia mlango wa adhabu kali, hapo ndipo wakawa wenye kukata tamaa.
- Au tumewateremshia hoja ambayo kwayo ndio wanafanya ushirikina?
- Hayo ni kwa sababu wameyapenda zaidi maisha ya duniani kuliko ya Akhera, na kwa sababu
- Akasema: Mola wangu Mlezi nijaalie Ishara. Akasema Ishara yako ni kuwa hutasema na watu kwa
- Hiyo ndiyo Pepo tutayo warithisha katika waja wetu walio kuwa wachamngu.
- Hakika hivyo ndivyo tunavyo walipa walio wema.
- Shetani amewatawala na akawasahaulisha kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Hao ndio kundi la Shetani. Kweli hakika kundi
- Hivyo ndivyo tutakavyo wafanyia wakosefu.
- Na akatoa mkono wake, mara ukawa mweupe kwa watazamao.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah An Naba with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah An Naba mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter An Naba Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



